Motsepe aelekea kuwa rais wa CAF, Uganda na Ghana zasaka ubingwa wa taji la vijana

Sauti 20:35
Rais wa klabu ya Mamelodi Sundowns Patrice Motsepe, anayetarajiwa kuwa rais wa Shirikisho la soka barani Afrika
Rais wa klabu ya Mamelodi Sundowns Patrice Motsepe, anayetarajiwa kuwa rais wa Shirikisho la soka barani Afrika Noam Galai / GETTY IMAGES NORTH AMERICA / Getty Images via AFP

Leo katika Makala ya Jukwaa la Michezo miongoni mwa matukio tunakuchambulia ni harakati za kumpata rais mpya wa Shirikisho la soka barani Afrika CAF, fainali ya mchezo wa soka kwa  vijana wasiozidi miaka 20 kati ya Uganda na Ghana nchini Mauritania, miongoni mwa masuala mengine.