Matarajio ya wapenzi wa soka barani Afrika baada ya Patrice Motsepe kuwa rais mpya wa CAF

Sauti 24:00
Rais mpya wa Shirikisho la soka barani Afrika CAF Patrice Motsepe
Rais mpya wa Shirikisho la soka barani Afrika CAF Patrice Motsepe © Fadel Senna/AFP

Patrice Motsepe, ndiye rais mpya wa Shirikisho la soka barani Afrika CAF, anachukua nafasi ya Ahmed Ahmed, baada ya kuidhinishwa na wakuu wa vyama vya soka kutoka mataifa ya bara hilo. Wapenzi wa soka barani Afrika wana matarajio gani ? Tunajadili kwa kina.