Matukio yaliyotokea viwanjani wiki hii barani Afrika na kwingineko duniani
Imechapishwa:
Sauti 23:56
Miongoni mwa matukio makubwa yaliyotokea viwanjani wiki hii, ni michuano ya soka ya klabu bingwa barani Afrika, na maandalizi ya michezo ya Olimpiki jijini Tokyo nchini Japan.