Michuano ya kufuzu kucheza fainali ya bara Afrika mwaka 2022

Sauti 23:51
Mechi kati ya Afrika Kusini na Ghana kufuzu fainali ya Afrika mwaka 2022 nchini Cameroon
Mechi kati ya Afrika Kusini na Ghana kufuzu fainali ya Afrika mwaka 2022 nchini Cameroon AFP - PHILL MAGAKOE

Timu za taifa za mchezo wa soka za Comoros na Gambia, zimefuzu katika michuano ya bara Afrika, AFCON  itakayofanyika mwaka 2022 nchini Cameroon, lakini mataifa mengine kama DRC , Kenya, Tanzania, yakishindwa kufuzu. Tunajadili hili kwa kina.