Riadha: Caster Semenya ataka kushiriki michezo ya Olimpiki

Sauti 23:51
Bingwa mara mbili wa mbio za Mita 800 katika michezo ya Olimpiki Caster Semenya , akishiriki katika mashindano ya mbio za Mita  5,000 jijini Pretoria nchini Afrika Kusini.
Bingwa mara mbili wa mbio za Mita 800 katika michezo ya Olimpiki Caster Semenya , akishiriki katika mashindano ya mbio za Mita 5,000 jijini Pretoria nchini Afrika Kusini. Phill Magakoe AFP

Bingwa mara mbili wa Michezo ya Olimpiki katika mbio za Mita 800 mwanadada Caster Semenya kutoka Afrika Kusini, anataka kufuzu katika Michezo ya mwaka huu nchini Japan kukimbia mbio za Mita 5,000. Dennis Onyango, kipa wa siku nyingi wa timu ya taifa ya soka ya Uganda, ametangaza kustaafu. Tunajadili haya na mengine mengi.