Mashindano ya kukimbiza magari nchini Kenya
Imechapishwa:
Sauti 23:51
Leo kwenye Jukwaa la Michezo, tunaangazia matukio muhimu yaliyotokea viwanjani, ikiwemo mashindano ya kukimbiza magari Safari Rally nchini Kenya.