Mashindano ya kukimbiza baiskeli Tour de Rwanda yaanza

Sauti 20:56
Mashindano ya kukimbiza baiskeli nchini Rwanda, Tour de Rwanda mwaka 2021
Mashindano ya kukimbiza baiskeli nchini Rwanda, Tour de Rwanda mwaka 2021 © http://www.tourdurwanda.rw/

Miongoni mwa matukio makubwa yaliyotokea wiki hii viwanjani ni pamoja na fainali ya klabu bingwa barani Afrika  katika mchezo wa wavu kwa upande wa wanawake lakini pia droo ya robo fainali kuwania taji la klabu bingwa na Shirikisho soka barani Afrika bila kusahau mashindano ya kukimbiza baiskeli ya Tour de Rwanda.