Matukio yaliyotokea viwanjani wiki hii

Sauti 23:49
Gari liendalo kwa mwendo wa kasi
Gari liendalo kwa mwendo wa kasi Mazen MAHDI AFP/File

Miongoni mwa yale tunayokuletea kwenye Jukwaa la Michezo ni pamoja na kuahirishwa kwa mchezo wa ligi kuu ya soka nchini Tanzania miongoni mwa matukio mengine kama mashindano ya kukimbiza magari yaendayo kwa kasi Langalanga.