Kamati kuu ya Shirikisho la soka barani Afrika yakutana jijini Kigali

Sauti 23:45
Rais wa Shirikisho la soka barani Afrika  Patrice Motsepe.
Rais wa Shirikisho la soka barani Afrika Patrice Motsepe. AP - Themba Hadebe

Michuano ya mchezo wa soka, hatua ya robo fainali, kuwania taji la klabu bingwa barani Afrika zinachezwa katika mataifa mbalimbali barani Afrika. Tunajadili hili na matukio mengine yanatokea viwanjani wikiendi na wiki hii.