Naomi Osaka ajiondoa kwenye michezo ya French Open

Sauti 23:53
 Naomi Osaka mchezaji wa Tennis kutoka Japan
Naomi Osaka mchezaji wa Tennis kutoka Japan REUTERS - CHRISTIAN HARTMANN

Miongoni mwa yale tunayajadili Jumamosi hii kwenye Jukwaa la Michezoni hatua ya Naomi Osaka kujiondoa kwenye michezo ya mwaka huu ya Tennis ya French Open, lakini pia maandalizi ya michezo ya Olimpiki yatakayofanyika kati ya Juni na Julai jijini Tokyo nchini Japan.