Fainali ya soka kuwania taji la klabu bingwa barani Afrika

Sauti 24:00
Wachezaji wa Al Ahly wakisherehekea ushindi wa taji la klabu bingwa Afrika Julai 17 2021
Wachezaji wa Al Ahly wakisherehekea ushindi wa taji la klabu bingwa Afrika Julai 17 2021 REUTERS - MOHAMED ABD EL GHANY

Miongoni mwa yale tunayokuandalia ni pamoja na fainali ya klabu bingwa barani Afrika katika mchezo wa soka, maandalizi ya michezo ya Olimpiki na kumalizika kwa mashindano ya kukimbiza basikeli ya Tour de France.