Jukwaa la Michezo

Matukio yaliyotokea viwanjani wiki hii

Imechapishwa:

Miongoni mwa matukio makubwa yanayotokea viwanjani, tunayachambèua jioni hii ni pamoja na :--Michuano ya soka, hatua ya makundi kwa mataifa ya Afrika kufuzu kucheza michuano ya kombe la dunia mwaka 2022 nchini Qatar.-Michuano ya soka, kuwani taji la klabu bingwa Afrika Mashariki na Kati, CECAFA kwa upande wa wanawake.-Hatua ya nusu fainali, kuwania taji la mchezo wa kikapu kwa mataifa ya Afrika, inayoendelea jijini Kigali nchini Rwanda.

Mashindano ya Afrobasket
Mashindano ya Afrobasket © Courtesy of FIBA