Biashara ya mkaa inavyoharibu mazingira

Sauti 09:55
Kuteketea kwa msitu
Kuteketea kwa msitu CARL DE SOUZA AFP/File

Biashara ya mkaa ni moja kati ya mambo yanayochangia pakubwa uharibifu wa misitu katika maeneo mengi ya ukanda wa Afrika Mashariki, hii ni kutokana na ukataji wa misitu kwa matumizi ya mkaa.Ripoti iliyotolewa na shirika la  Global initiative against transnational organized crimes, nchi ya Kenya inaongoza katika biashara ya mkaa, nchi zingingine zikiwa Uganda, Sudan Kusini na pia Tanzania.