Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Huduma za maji safi na maji taka jijini Nairobi

Sauti 09:31
Nairobi, mji mkuu wa Kenya.
Nairobi, mji mkuu wa Kenya. Sam Stearman/Wikipédia

Makala ya Mazingira leo dunia yako Kesho, hivi leo inaangazia changamoto ya upatikanaji wa maji safi jijini Nairobi lakini pia miondombinu ya usafirishaji wa maji taka.Mtayarishaji wa makala haya amezungumza na waziri wa maji na umwagiliaji nchini Kenya, Sicily Kariuki.