Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Changamoto maji safi na maji taka nchini Kenya

Sauti 09:31
Mfano wa picha kuonesha maji taka katika mazingira ya watu wanakoishi.
Mfano wa picha kuonesha maji taka katika mazingira ya watu wanakoishi. AP - Angel de Jesus

Makala ya Mazingira leo dunia yako kesho, hivi leo inaangazia changamoto ya kimazingira katika upatikanaji wa maji safi na maji taka kwenye miji mbalimbali nchini Kenya.