Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Matukio ya Volkano na namna wananchi wanaweza kujilinda

Sauti 09:16
Mlipuko wa Volkano ya mlima Nyiragongo nchini DRC
Mlipuko wa Volkano ya mlima Nyiragongo nchini DRC © AP

Makala ya mazingira Leo Dunia Yako Kesho, inaangazia kuhusu mlipuko wa Volkano, chanzo chake na namna ya kukabiliana na milipuko ya baadae.