Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Athari za mazingira na changamoto za kisaikolojia

Sauti 10:00
Wanasiasa wameendelea kudai kuwa athari za kimazingira zinazoshuhudiwa ni kutokana na mabadiliko ya tabia nchi.
Wanasiasa wameendelea kudai kuwa athari za kimazingira zinazoshuhudiwa ni kutokana na mabadiliko ya tabia nchi. Handout Bezirksregierung Köln/AFP

Makala ya Mazingira Leo Dunia Yako Kesho, hivi leo inaangazia namna majanga ya kimazingira yanachangia watu kwenye jamii kupata changamoto za kisaikolojia na namna mamlaka zinaweza kutoa msaada.