Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Sehemu ya Kwanza Uchunguzi kuhusu biashara ya mkaa Kenya kaunti ya Kitui

Imechapishwa:

Kwenye makala ya juma hili, tunaangazia kwanini biashara ya mkaa imeendelea licha ya Serikali kuipiga marufuku nchini Kenya, makala haya yanaletwa kwenu kwa udhamini wa Shirika la Ufaransa la Maendeleo ya Vyombo vya Habari, CFI

Biashara ya mkaa imeshamiri kwenye mataifa mengi ya Afrika
Biashara ya mkaa imeshamiri kwenye mataifa mengi ya Afrika LA Bagnetto