Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Sehemu ya pili uchunguzi kuhusu biashara ya mkaa Kenya

Imechapishwa:

Katika makala ya mazingira leo dunia yako kesho juma hili, tunaendelea na sehemu ya pili ya makala ya uchunguzi kuhusu biashara ya mkaa nchini Kenya kaunti ya Kitui, leo ikiangazia usafirishwaji na ufisadi unavyochangia biashara hii.Makala haya yanaletwa kwenu kwa udhamini wa Shirika la Ufaransa la Maendeleo ya Vyombo vya Habari, CFI

Picha ikimuonesha mtoto aliyekuwa mpiganaji wa waasi Joseph Bisole akitengeneza mkaa kupitia mpango wa WWF.
Picha ikimuonesha mtoto aliyekuwa mpiganaji wa waasi Joseph Bisole akitengeneza mkaa kupitia mpango wa WWF. ALEXIS HUGUET AFP/File