Mjadala wa Wiki

Mapinduzi nchini Guinea na hali ya kisiasa kwa watawala barani Afrika

Sauti 10:30
Luteni kanali Mamady Doumbouya, kiongozi wa kijeshi aliyeipindua serikali ya Alpha Conakry, akielekea katika chumba cha taifa Jijini Conakry septemba 6 2021.
Luteni kanali Mamady Doumbouya, kiongozi wa kijeshi aliyeipindua serikali ya Alpha Conakry, akielekea katika chumba cha taifa Jijini Conakry septemba 6 2021. AFP - CELLOU BINANI

Kwenye Mjadala wa wiki, tunaangazia hali ya kisiasa nchini Guinea na nini sababu za kutokea mapinduzi ya serikali barani Afrika. Swala ni kwa nini imejengeka dhana kwamba kiongozi anayeng'ang'ania madaraka mwisho wake siku zote ni mapinduzi ya kijeshi, nini kifanyike ili ifike mahali demokrasia na watawala waheshimu katiba za nchi zao?Mjadala wa wiki na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka