Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Chanjo dhidi ya Covid kuanza kutolewa nchini Kenya, watu 14 wauawa DRC

Sauti 20:18
Shehena ya kwanza ya chanjo dhidi ya Covid-19 iliyopokelewa jijini Nairobi nchini Kenya Marchi 03 2021
Shehena ya kwanza ya chanjo dhidi ya Covid-19 iliyopokelewa jijini Nairobi nchini Kenya Marchi 03 2021 TONY KARUMBA AFP

Makala ya juma hili imeangazia hatua ya kanisa katoliki nchini Kenya kuunga mkono jitihada za serikali katika kutoa chanjo ya Covid 19 kwa raia wake, kauli inayopingana na msimamo wa madaktari wa kanisa hilo waliowataka waumini wao kutochoma chanjo hiyo kauli inayopingana na msimamo wa madaktari wa kanisa hilo waliowataka waumini wao kutochoma chanjo hiyo, pia mapigano kati ya majeshi ya Rwanda na Burundi, pamoja na mauaji ya watu 14 huko Mambelenge DRC na mengine mengi.