Upinzani waitisha maandamano huko Uganda, nchini Kenya Raila Odinga akutwa na corona

Sauti 20:15
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Robert Kyagulanyi, almaarufu Bobi Wine, nyumbani kwake wakati wa mkutano na wanahabari siku ya jumanne marchi 08 2021
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Robert Kyagulanyi, almaarufu Bobi Wine, nyumbani kwake wakati wa mkutano na wanahabari siku ya jumanne marchi 08 2021 SUMY SADURNI AFP

Makala ya wiki hii imeangazia wito wa upinzani nchini Uganda kuandamana kupinga matokeo ya uchaguzi wa january mwaka huu, nchi ya Kenya imetangaza makataa ya siku 60 zaidi kukabiliana na maambukizi ya virusi vya Corona, huku aliyekuwa waziri mkuu wa nchi hiyo Raila Odinga akutwa na virusi vya Corona.Kule DRC watu waendelea kuuawa wakati ni juma ambalo Marekani ililitaja kundi la ADF kuwa ni la kigaidi, kimataifa tumeangazia maandamano ya nchini Ufaransa kwa juma hili.