Safari ya mwanzo na mwisho wake Magufuli wakati nchini Kenya kaunti 5 zafungwa

Sauti 20:16
Maafisa wa jeshi wakisindikiza magari yanayobebea jeneza la hayati rais wa Tanzania John Magufuli iliyokwekwa kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma, Tanzania Machi 22, 2021.
Maafisa wa jeshi wakisindikiza magari yanayobebea jeneza la hayati rais wa Tanzania John Magufuli iliyokwekwa kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma, Tanzania Machi 22, 2021. via REUTERS - PRESIDENTIAL PRESS SERVICE

Makala hii imeangazia kuzikwa kwa aliyekuwa rais wa awamu ya tano wa Tanzania John Magufuli katika makaburi ya familia huko mjini Chato, mkoani Geita, Kaskazini Magharibi mwa Tanzania, na Huko Kenya kaunti tano, likiwemo jiji kuu Nairobi, Kajiado, Kiambu, Machakos na Nakuru, yalifungwa kuanzia Ijumaa ya marchi 26 kwa lengo la kupambana na ongezeko la maambukizi ya COVID-19 nchini humo, huku muda wa watu kutotembea katika kaunti hizo ni kati ya saa mbili usiku mpaka wa saa 10 Alfajiri.Hali nchini DRC, Uchaguzi wa Congo Brazzaville na kwingineko duniani yaliangaziwa katika makala haya