Kenya naTanzania zamaliza tofauti zao, Jeshi kuongoza Ituri na Kivu kaskazini huko DRC

Sauti 20:08
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akihutubia kikao cha pamoja cha Wabunge wa Kenya na Maseneta huko Nairobi, Kenya, Mei 5, 2021.
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akihutubia kikao cha pamoja cha Wabunge wa Kenya na Maseneta huko Nairobi, Kenya, Mei 5, 2021. REUTERS - MONICAH MWANGI

Makala hii imeangazia hatua ya viongozi wa Kenya na Tanzania ya kuwahakikishia wafanyibiashara wa nchi hizo mbili kuimarisha mazingira ya kufanya biashara kati ya mataifa hayo jirani, wakati huko DRC rais Felix Tshisekedi aliwateua magavana wa Kijeshi kuongoza mikoa ya Kivu ya kaskazini na Ituri kama hatua ya kumaliza mauaji ya raia wa kawaida mashariki mwa Nchi hiyo, lakini pia siasa za Burundi, na ukanda wa Afrika na rubaa za kimataifa.Ungana na mwandishi wetu Reuben Lukumbuka kupata mengi zaidi.