Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Makundi tisa ya waasi nchini Ethiopia yaungana kuuangusha utawala wa Addis Ababa

Imechapishwa:

Makala hii imeangazia hali ya mapigano yanayoendelea nchini Ethiopia ambapo makundi tisa ya wapiganaji wenye silaha yamejiapiza kuuangusha utawala wake Abiy Ahmed, kundi moja la waasi lauvamia mji wa Bukavu huko mashariki mwa nchi hiyo, lakini pia mkutano wa COP26 uliofanyika huko Glasgow, Scotland nchini Uingereza na mambo mengine yameangaziwa katika makala hii ya yaliyojiri wiki hii.

Mmoja wa wapiganaji wa kundi la Amhara akiwa mjini Humera, Nchini Ethiopia November 22 2020.
Mmoja wa wapiganaji wa kundi la Amhara akiwa mjini Humera, Nchini Ethiopia November 22 2020. © AFP - Eduardo Soteras