Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Kifo cha De Klerk Afrika kusini, DRC waasi wa ADF wauwa kikatili, Ethiopia hali bado

Imechapishwa:

Makala hii imeangazia mambo mengi ikiwa ni pamoja kifo cha rais wa zamani mweupe wa Afrika kusini F W De Klerk, akiwa na umri wa miaka 85, nchini Ethiopia mgogoro wa kisiasa waendelea kufukuta, huku serikali ikionesha nia ya kufanya mazungumzo na waasi, kule DRC mashambulizi ya waasi wa M23 maeneo ya Chanzu na Runyoni, na pia mauaji ya waasi wa ADF wilayani Beni mashariki mwa nchi hiyo. Kenya yashuhudia kuchomwa Shule kadhaa, pamoja na mambo mengine mengi..kutoka kila kona dunia.

Rais wa zamani wa Afrika kusini Frederik Willem de Klerk chini ya utawala wa kipindi cha ubaguzi wa rangi kati ya wazungu na watu weusi.
Rais wa zamani wa Afrika kusini Frederik Willem de Klerk chini ya utawala wa kipindi cha ubaguzi wa rangi kati ya wazungu na watu weusi. GIANLUIGI GUERCIA AFP/File