Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

ADF waendesha mashambulizi jijini Kampala Uganda, Magaidi watatu wakamatwa Kenya

Imechapishwa:

Makala hii imeangazia tukio la mashambulizi ya kigaidi siku ya jumanne ya November 16 jijini Kampala, idara za usalama zikiwataka raia kuchukua tahadhari huku shughuli za kibiashara zikiripotiwa kuendelea kama kawiada, ziara ya waziri wa mambo ya nje wa Marekani Anthony Blinken nchini Kenya, mauaji mapya ya nchini DRC huko Mikenge Kivu kusini, na Vuhesi wilatani Beni mkoani Kivu kaskazini, na hatua ya Marekani kuondoa vikwazo dhidi ya viongozi wa Burundi ni miongoni mwa mengi yaliyopewa uzito katika matangazo ya juma hili.

Magari yaliyoharibiwa wakati wa milipuko miwili ya Bomu kwenye jiji la Kampala, nchini Uganda, Novemba 16 2021.
Magari yaliyoharibiwa wakati wa milipuko miwili ya Bomu kwenye jiji la Kampala, nchini Uganda, Novemba 16 2021. AP - Nicholas Bamulanzeki