Muziki Ijumaa

Burudani maaluum ya nyimbo za kifaransa wakati rfikiswahili ikiadhimisha mwezi wa la Francophonie

Sauti 10:52
Ali Bilali RFI Kiswahili
Ali Bilali RFI Kiswahili © rfikiswahili/Bilali

Wakati RFIKiswahili ikiadhimisha mwezi wa la Francophonie, mtangazaji wako Ali Bilali amekuletea nyimbo mbalimbali za wanamuziki waliozoimba kwa Kifaransa na maelezo yake mafupi kuhusu nyimbo hizo, ebu sikiliza.