Muziki Ijumaa

Maitre Gilma chipukizi kutoka Kamanyola na harakati zake za muziki

Sauti 10:43
Maitre Gilma
Maitre Gilma © Maitre Gilma facebook

Makala haya Muziki Ijumaa juma hili Ali Bilali anazungumza na Maitre Gilma msanii chipukizi kutoka Kamanyola wilaya ya Uvira Kivu Kusini Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.