Muziki Ijumaa

Mico The Best Msanii kutoka nchini Rwanda anaetamba Afrika mashariki na kati

Sauti 10:30
Mico The Best
Mico The Best © Mico the best facebook

Juma hili mtangazaji wako Ali Bilali amezungumza na msanii kutoka nchini Rwanda aliejizolea umaharufu mkubwa kupitia nyimbo zake kama vile Igare, Umunamba, jamais na nyinginezo, anazungumza hapa kueleza mipango yake zaidi.