Mfahamu Aga Rapper mwanamuziki rapper wa kike kutoka mjini Morogoro nchini Tanzania
Imechapishwa:
Sauti 11:39
Juma hili katika Makala Muziki Ijumaa Ali Bilali amezungumza na mwanamuziki wa kike wa miondoko ya Hip Hop kutoka Mkoani Morogoro nchini Tanzania ambae kazi zake zinafanya vizuri nchini humo.
Matangazo ya kibiashara
Usikosi pia kutufollow kwa instagram @billy_bilali