Nguli wa Muziki wa Live Afrika Mashariki Kidum Kibidon ndani ya studio za RFI

Sauti 10:35
Kidum Kibidon ndani ya Studio za RFI Kiswahili Nairobi
Kidum Kibidon ndani ya Studio za RFI Kiswahili Nairobi © rfikiswahili/Bilali

Mwanamuziki Nguli wa Muziki wa Live Afrika mashariki Jean Pierre Nimbona maharufu Kidum Kibidon ametembelea studio za RFI Kiswahili jijini Nairobi nchini Kenya kuzungumzia mambo ya muziki kwa ujumla nchini Kenya na Burundi