MC Hammer Rapper aliesumbua sana vijana miaka 1990
Imechapishwa:
Sauti 10:27
Katika Makala haya Muziki Ijumaa, Ali Bilali anakuletea mwanamuziki wa Hip Hop aliewahi kutamba sana miaka hiyo kutokana na style yake ya Muziki na mavazi, kabla ya kujikita zaidi katika biashara.