Miaka 40 tangu kifo cha Bob Marley

Sauti 10:02
Bob Marley na Wailers, hapa ni katika onesho la mjini Voorbug, nchini Uholanzi, mwaka 1976.
Bob Marley na Wailers, hapa ni katika onesho la mjini Voorbug, nchini Uholanzi, mwaka 1976. Gijsbert Hanekroot/Redferns

Makala ya Muziki Ijumaa, wiki hii inakuletea kipindi maalumu kuhusu miaka 40 ya mfalme wa Rege, hayati Robert Nesta Marley ''Bob Marley".