Unapenda kuskiza muziki upi ndani ya Muziki Ijumaa
Imechapishwa:
Cheza - 11:51
Kila Ijumaa ni nafasi yako ya kuitisha muziki ndani ya Makala haya.
Mwanamuziki Etienne M'Bappe (kushoto) kutoka Cameroun akisikiliza muziki katika Kituo cha Sanaa cha Port-au-Prince mnamo Januari 18, 2021, wakati wa Darasa la Uzamili, sehemu ya toleo la 15 la Tamasha la Kimataifa la Jazz la Port-au-Prince.Valerie Baeriswyl AFP/File