Sanaa ya uchoraji naye Thobius Minzi

Sauti 19:59
baadhi ya kazi za Thobius Minzi
baadhi ya kazi za Thobius Minzi © Thobius Minzi

Sanaa ya Uchoraji nchini Tanzania imeendelea kudhihirisha uzuri wa Utamaduni uliopo nchini Tanzania,Wachoraji wanajikita kuhifadhi Historia kupitia picha na wengine kufanya sanaa hiyo kwa kuchora picha halisia.Thobius Minzi ni Mchoraji anayechora picha kwa kutimia kalamu za risasi na baadae hutumia rangi za Cliric.Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa akiangazia sanaa ya Uchoraji.