Nyumba ya Sanaa

Sanaa ya ucheshi katika jamii waambatanishwa na uimbaji nchini Tanzania

Sauti 20:03
Wasanii wa kundi la MAHONA OLD SCHOOL CREW wakiwa mazoezini katika ngome yao jijini Daresalaam,Tanzania, February 2021 Picha na Steaven Mumbi
Wasanii wa kundi la MAHONA OLD SCHOOL CREW wakiwa mazoezini katika ngome yao jijini Daresalaam,Tanzania, February 2021 Picha na Steaven Mumbi © RFI Kiswahili

Ucheshi ni Sanaa nyingine inayokua kila kukicha nchini Tanzania. Wasanii wanatumia kila mbinu ili kunasa hadhira inayohitaji kuburudika kupitia sanaa hii.Sasa Wasanii wa uimbaji waanza kuwa wabunifu kwa kubuni sanaa ya Uimbaji kupitia Ucheshi, Ungana na Steven Mumbi akizungumza na Kundi la MAHONA OLD SCHOOL CREW katika Makala ya Nyumba ya Sanaa.