Sanaa ya uchoraji na urembo katika mataifa ya Afrika mashariki

Sauti 20:13
Maonyesho ya vyombo vya sanaa wakati wa tamasha la Niger mwaka 2019, kazi yake Abdoulaye Diakité katika mji wa Niamey
Maonyesho ya vyombo vya sanaa wakati wa tamasha la Niger mwaka 2019, kazi yake Abdoulaye Diakité katika mji wa Niamey RFI/Coralie Pierret

Uchoraji si sanaa tu inayohusisha urembo pia ni sanaa inayotumika kutunza kumbukumbu, wachoraji wanafanya sanaa hii kama sehemu mbadala ya kujipatia kipato.Augosto Ngumba ni mchoraji mwenye shahada ya elimu ya Juu katika masuala ya Jamii,baada ya kukosa Ajira akaamua kutumia kipaji chake cha uchoraji kujijiri.Ungana na Steven Mumbi katika Makala haya ya Nyumba ya Sanaa.