Muziki kutoka Uvira nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Imechapishwa:
Sauti 20:05
Leo tunamwangazia mwanamuziki Classic Bufreda anatueleza safari yake ya muziki. Ni mkaazi wa Uvira, Mashariki mwa DRC