Changamoto za uandishi na utunzi wa vitabu nchini Tanzania

Sauti 20:02
Mtunzi Inéma Jeudi akiwa katika studioni katika makala «Vitabu na wewe».
Mtunzi Inéma Jeudi akiwa katika studioni katika makala «Vitabu na wewe». © Dangelo Neard/RFI

Sanaa ya uandishi na utunzi wa vitabu ni miongoni mwa sanaa zinazofifia hivi sasa kutokana na ukuaji wa utandawaji sambamba na wasomaji wengi kugeukia utumiaji wa mitandao ya kijamii na hivyo kuathiri biashara ya uuzaji wa vitabu.Ungana na Steven Mumbi katika makala ya Nyumba ya Sanaa akizungumza na Emmanuel Mkama Mtunzi wa vitabu Kutoka nchini Tanzania wakizungumzia sanaa hiyo sambamba na Changamoto zake.