Muziki wa taarab nchini Tanzania

Sauti 20:18
Mwanamuziki wa Taarabu Abdul Misambano akitoa burudani wakati huo akiwa na Bendi ya TOT
Mwanamuziki wa Taarabu Abdul Misambano akitoa burudani wakati huo akiwa na Bendi ya TOT Misambano/Picha

Taarab Asilia ni Miongoni mwa Muiziki yenye asili ya Mwambao, Maudhui yanayojikita katika kuelimisha uhusiano kati ya Mume na Mke,Nyimbo zilizosheheni Majigambo ,Je Unamfahamu Afua Suleiman Maganga mtunzi wa Wimbo Utalijua jiji ?Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa akizungumza nae kuhusu safari yake ya Muziki huo aliyoianza mwaka 1982.