Hali ya Sanaa ya ushairi nchini Tanzania
Imechapishwa:
Sauti 20:18
Ushairi ni Sanaa inayokua kwa kasi, Washairi wameongeza ubunifu wakughani Mashairi sambasamba na matumizi ya Mirindimo ya Miziki inayopigwa na chombo kama ViolinUngana na Steven Mumbi katika makala ya nyumba ya sanaa akizungumza na mshairi Elizabeth Pastory.