Sanaa ya utunzi wa vitabu vya mahusiano nchini Tanzania

Sauti 20:09
Ndege nchini Tanzania
Ndege nchini Tanzania © Francesco Veronesi_Wikimedia Commons

Ukosefu wa elimu ya mahusiano ni miongoni mwa sababu zinazochangia ndoa nyingi kuvunjika, kutana na Ahmed Hassan mtunzi wa vitabu vya mahusiano ya kimapenzi akizungumza na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa wakizungumzia Sanaa ya Utunzi wa vitabu vya mahusiano.