Nyumba ya Sanaa
Sanaa ya muziki wa reggae katika tamaduni za kiafrika na manufaa yake
Imechapishwa:
Cheza - 20:00
Makala ya nyumba ya sanaa imeangazia sanaa ya muziki wa reggae kutoka DRC ambapo pamoja na mwanamuziki Black Sadja Mayani tumeangazia manufaa ya muziki huu katika kukuza tamaduni za kiafrika na urithi wa mababu zetu.Ungana na mwandishi wetu Steaven Mumbi kusikiliza zaidi