Huduma za kupanga uzazi wakati wa Covid 19

Sauti 09:55
 Mama akitoka kwenye kituo cha kupanga uzazi, Kibera ,Nairobi, Kenya.
Mama akitoka kwenye kituo cha kupanga uzazi, Kibera ,Nairobi, Kenya. REUTERS - BAZ RATNER

Katika Makala ya Siha Njema tunaangazia Ripoti  ya  umoja wa mataifa ,  ya mwaka 2020 ya huduma za upangaji uzazi,mwaka  moja tangu kuzuka  janga la Corona .Ripoti  hiyo imebaini kushuka kwa huduma hizo na kuonya   mataifa mengi  huenda ikapunguza uwekezaji wao kwenye huduma za kupanga uzazi  kutokana na kuathirika kwa chumi zao .