Siku ya kimataifa ya kupambana na Malaria

Sauti 09:56
Mtu anayesababisha Malaria
Mtu anayesababisha Malaria Olympia DE MAISMONT AFP/File

Wakati dunia ikiadhimisha, siku ya kuhamasisha raia wa nchi tofuati kuhusu namna ya kutokomeza ugonjwa wa Malaria Aprili 25, Kwa mujibu wa takwimu za shirika la afya duniani, WHO  ripoti,,iliyongazia mwaka mmoja uliopita,mikakati iliyowekwa    kuzuia ,kupima  na kutibu Malaria ziliathirika katika thuluthi tatu za mataifa ya ulimwengu , kutokana na janga la Corona. Katika Makala ya Siha Njema tunaangazia juhudi tofuati za kupambana na Malaria barani Afrika ikiwemo majaribio ya chanjo ya Malaria nchini Kenya,Ghana na Malawi.