Takwimu za umoja wa mataifa , zimetaja ,Afrika ya Mashariki kuwa eneo linaloongoza katika ukuaji wa idadi ya watu , barani Afrika ,ikiwa na watu zaidi ya milioni 457.Kukabiliana na hali hii ,Shirika la afya duniani, WHO, pamoja na jamii ya umoja wa mataifa bado zimeendelea kusisitiza umuhimu wa uzazi wa mpango, kwa kushauri wanaume kujiunga kwa kampeini hii kwa kutumia mpira au condom au kukata mshipa wa uzazi maarufu vascectomy .Skiza makala haya Kwa ufahamu zaidi