Kundi la ADF latajwa kuwa la kundi la kigaidi
Imechapishwa: Imehaririwa:
Sauti 10:12
Marekani inasema kundi la waasi Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo la ADF, ni magaidi wizara ya Mambo ya nje ya Marekani ikisema viongozi wa makundi hayo, wanashirikiana kwa karibu na wale wa Islamic State na sasa wamekewa vikwazo.Victor Robert Wile anangaazia hatua hii katika makala haya.