Hali ya kisiasa Tanzania baada ya kifo cha John Pombe Magufuli
Imechapishwa: Imehaririwa:
Sauti 10:02
Upepo wa siasa nchini Tanzania, umechukuwa mkondo mpya baada ya kifo cha rais John Pombe Magufuli, kwenye makala haya Victor Robert Wile anaangazia hali kisiasa nchini humo baada ya kifo cha Magufuli.