Rais Samia Suluhu Hassan kukutana na viongozi wa upinzani

Sauti 10:16
Mwanasiasa wa upinzani nchini Tanzania  Tundu Lissu, anayeishi nchini Ubelgiji.
Mwanasiasa wa upinzani nchini Tanzania Tundu Lissu, anayeishi nchini Ubelgiji. © AFP - stringer

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameahidi kukutana na viongozi wa upinzani na kujadiliana nao kuhusu mustakabali wa kisiasa nchini humo baada ya baadhi yao kukimbia nchi na wengine kulalamikia kuminywa kwa misingi ya demokrasia. Je, itakuwaje ? Tunajadili